Wananchi wakiwa getini katika hospitali ya Temeke wakitaka kushuhudia wapenzi wanaodaiwa kunasa wakati wakifanya mapenzi.
Askari polisi wakidumisha ulinzi eneo la hospitali ya Temeke.…
Wananchi wakiwa getini katika hospitali ya Temeke wakitaka kushuhudia wapenzi wanaodaiwa kunasa wakati wakifanya mapenzi.
Askari polisi wakidumisha ulinzi eneo la hospitali ya Temeke.
Walinzi wa hospitali ya Temeke wakiwazuia wananchi kuingia hospitalini.
Polisi wakiwa nje ya hospitali ya Temeke kudumisha ulinzi.
Baadhi
ya wananchi wakiwa wamezingira jengo la kuhifadhia maiti baada ya
tetesi kuwa wapenzi hao walihifadhiwa katika moja ya ofisi iliyopo ndani
ya jengo hilo.
VURUGU
zilizuka jana katika hospitali ya Temeke baada ya uvumi kuenea jijini
Dar kwamba kuna wapenzi walionasa wakati wakifanya tendo la ndoa na
kupelekwa hospitalini hapo kwa ajili ya kunasuliwa. Hata hivyo taarifa
hizo mpaka sasa hazina ukweli wowote baada ya wapenzi hao kutoonekana na
taarifa mbalimbali kutoka katika vyombo vya usalama kueleza kuwa hamna
kitu kama hicho.
(PICHA NA MAKONGORO OGING' / GPL)
Comments
Post a Comment