Askofu Method Kilaini.
Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba
nimeiponda safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na
gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya
kuuponda uongozi huo. Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la
mtu kwa kueneza maoni yake. Kama ni waugwana natumaini watasahihisha
waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo. Askofu KilainiAskofu Method Kilaini
Bukoba Catholic Diocese
source GLP.
Comments
Post a Comment