Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya Kwanza katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe.
Sheikh Fadhil Soraga akipandishwa kwenye Gari la Wagonjwa kwa lengo la kuwahishwa…
Comments
Post a Comment