
Kwa miaka mingi, Afrika imekuwa
ikijulikana kwa sifa ya kuwa na rasilimali nyingi kama vile madini ya
dhahabu, almasi, shaba na kuendelea.
Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, nchi nyingi za bara hili, zikiwemo zile za Afrika mashariki zimegundua utajiri mkubwa wa mafuta na gesi hali ambayo katika baadhi ya maeneo imesababisha mvutano wa rasilimali.
Mwandishi wetu Aboubakar Famau kutoka Dar es Salaam amefanya mahojiano na mhandisi Joyce Kisamo ambaye ni mtaalamu mtafiti wa masuala ya gesi asili kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini Tanzania, na kwanza alimuuliza, iwapo bara la Afrika liko tayari kutumia rasilimali hizi kwa manufaa ya wananchi wake?
source bbc swahili
Comments
Post a Comment