
NDOA ya Mtangazaji wa B&M, Maimartha Jesse inadaiwa kutibuka baada ya Maimartha feki kuibuka kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook na kuomba fedha kwa watu akidai ana matatizo makubwa ya kifamilia.
Aidha, mwanadada huyo alisema anamsaka Nasra ili amkamate ‘laivu’ kwa vile ishu hiyo imechafua hali ya hewa ndani ya ndoa yake ambapo mumewe anaamini ni yeye na si Maimartha feki.
Comments
Post a Comment