Skip to main content
RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN APOKEA MRADI WA WAYA WA USAMBAZAJI WA UMEME KUPITIA BAHARINI
Waya wa Baharini
utakaotumika katika Mradi wa ulazaji waya wa pili wa Umeme kutoka
Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar,wenye urefu wa 37
Kilomita, katika Bandari ya Malindi ukiwa katika Meli ya Kampuni ya
Viscas kutoka nchini Japan.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa
akisalimiana na Msaidizi MtendajiMkuu wa MCA-T kwa upande wa Zanzibar,
Bw,Ahmed Rashid,alipowasilikatika Bandari ya Malindi Mjini Unguja
jana,kuupokea na kuukagua wayahuo wa Umeme ,utakaolazwa kwa siku Kumi
na mbili kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba Zanzibar
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, ( kushoto)
akifuatana na Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati,Ramadhan Abdalla
Shaaban,alipofika katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja jana ,Kuupokea
na Kuukagua Waya wa Baharini utakaotumika katika Mradi wa Ulazaji waya
wa pili wa Umeme kutoka Ras-Kiromoni Dar es Salaam hadi Ras-Fumba
Zanzibar,ukiwa katika Meli ya Kampuni ya Viscas kutoka nchini Japan.
Comments
Post a Comment