
Mbali na picha hizo za kitandani, nyingine zilizoanikwa ni pamoja na zile zinazomuonesha mrembo huyo akiwa nusu utupu, huku alichokuwa akikifanya na Kali kikibaki siri yake.

Hata hivyo, yamekuwepo madai ama ya kumsingizia binti huyo au ya kweli kwamba Faiza yuko nchini Afrika Kusini akijivinjari na kwamba amekuwa akijirusha pia kimapenzi na mwanaume huyo mtu mzima.
Kisa cha picha zake kusambaa, mitandao ya kijamii imebainisha kwamba, Kali ndiye aliyefanya mchezo mchafu kwa lengo la kumkomoa msichana huyo kwa kile kinachotajwa ‘bazoka kuishiwa ladha.’ Wawili hawa hawakupatika kuzungumzia picha zao.
Comments
Post a Comment