KOCHA ROY HODGSON AKABIDHI UNAHODHA WAYNE ROONEY

Meneja wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson amemteua mchezaji mshambuliaji wa Manchester united WAYNE  ROONEY kuwa naodha kwa kipindi cha muda cha mchezo wao wa kuwania kufuzu nafasi katika kombe la Dunia  litakalo fanyika nchini Brazil mwaka 2014,kocha huyo ameamua kumteua ROONEY
kwakuwa nahodha mkuu Steven Gerrad ambayeamesimamishw kwa michezo kazaa na nahodha msaidizi Frank Lampad hawata wai mechi iyo kutokana na majera ya goti waliyo yapata,Rooney apo awali alishawahi kuingoza timu iyo kwa kipindi kifupi ambacho England ilicheza na Brazil walipofungwa akiwakama nahodha pia ikumbukwe kuwa Rooney toka apewe unahodha Engand haijawi kushinda mechi hata moja na kama watashinda basi itakuwa ni mara ya kwanza kwa Rooney na nahodha Steven Gerrad anatarajiwa kurudi katika game yao na Poland







Comments