HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI ZA JANA KATIKA RAUNDI YA MCHUJO AFRICA PIA FAHAMU TIMU ZILIZO PITA KWENYE MCHUJO HUU.

AFCON_2013-NORMAL 













MATOKEO:
Jumapili Oktoba 14
[Kwenye mabano jumla ya Mabao kwa Mechi mbili]

Ethiopia 2 Sudan 0 [5-5]==Ethiopia wamepita kwa Goli za ugenini
Cameroon 2 Cape Verde 1 [2-3]
Algeria 2 Libya 0 [3-0]
Togo 2 Gabon 1 [3-2]
Angola 2 Zimbabwe 0 [3-3] ==Angola wamepita kwa Goli la ugenini
Niger 2 Guinea 0 [2-1]
Burkina Faso 3 Central African Republic 1 [3-2]
E.Guinea 2 Congo 1 DR [2-5]

TIMU ZILIZOTINGA FAINALI:
-Afrika Kusini [Wenyeji]
-Ghana
-Mali
-Zambia
-Nigeria
-Sierra Leone
-Morocco
-Ethiopia
-Cape Verde
-Angola
-Niger
-Algeria
-Togo
-Congo DR
-Burkina Fasso
-Ivory Coast [Wamepita baada ya kushinda 4-2 Mechi ya kwanza na kuongoza 2-0 ugenini na Mechi kuvunjika Dakika ya 76 kufuatia fujo za Mashabiki wa Senegal].

Comments