
Wagombea urais wa Somalia
wanawasilisha manifesto zao mbele ya bunge, kabla ya uchaguzi wa
Jumatatu ambapo rais atachaguliwa na bunge.
Wabunge wataamua wanayemtaka kuongoza nchi kati ya wagombea 25.
Waandishi wa habari wanasema rais wa sasa,
Sharif Sheikh Ahmed, ambaye ameongoza nchi tangu mwaka wa 2009, ni kati
ya wagombea wanaoongoza.
Comments
Post a Comment