RATIBA YA EPL WIKI HII

BARCLAYS_PREMIER_LEAGUE_LOGO_2012












Wikiendi hii Timu zote 20 za Ligi Kuu England zitakuwa dimbani nyingine zikiwa zimetoka kucheza katikati ya
Wiki Mechi za UEFA CHAMPIONZ LIGI na EUROPA LIGI lakini kwa Wadau wengi macho yao ni kwenye BIGI MECHI za Jumapili huko Anfield kati ya Liverpool na Manchester United na huko Emirates kati ya Manchester City na Arsenal.
__________________________
RATIBA Mechi zijazo:
Jumamosi Septemba 22
[Saa 8 Dak 45 Mchana]
Swansea City v Everto

[Saa 11 Jioni]
Chelsea v Stoke City
Southampton v Aston Villa
West Bromwich Albion v Reading
West Ham United v Sunderland
Wigan Athletic v Fulham
Jumapili Septemba 23
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Liverpool v Manchester United
[Saa 11 Jioni]
Newcastle United v Norwich City
[Saa 12 Jioni]
Manchester City v Arsenal
Tottenham Hotspur v Queens Park Rangers

Comments