MCHAPISHAJI/MHARIRI WA GAZETI NCHINI BURMA AFUNGULIWA MASHITAKA MARA BAADA YA KUIDHLILISHA SERIKALI YAKE
Wizara ya madini ya Burma imechukua hatua hiyo baada ya gazeti hilo la The Voice Weekly kuandika shutuma za ukiukwaji katika masuala ya taratibu za fedha mapema mwaka huu.
Hivi karibuni serikali ya kijeshi ya nchi hiyo imekuwa ikijaribu kulegeza vikwazo vya vyombo vya habari ambavyo vinaonekana kuwa ni miongoni mwa vyombo vya habari vinavyokandamizwa sana duniani.
Comments
Post a Comment