MATOKEO YA MECHI ZA JANA ZA KUWANIA NAFASI YA KUSHILIKI KOMBE LA DUNIA 2014 HUKO BRAZIL

 

Argentina yashinda ipo kileleni Kundini Marekani ya Kusini! 

Katika Mechi za kuwania kwenda Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2014 huko Brazil Vigogo wa Ulaya, England, Germany, France, jana walishinda Mechi zao za kwanza za Makundi yao lakini Italy walitoka sare na huko Marekani ya Kuisini, Argentina waliichapa Paraguay Bao 3-1 na kuongoza Kundi la Nchi za Marekani ya Kusini.

Moldova 0 England 5

MABAO:

-Frank Lampard=Penati Dakika ya 3, 29

-Jermaine Defoe=32

-James Milner=74

-Leighton Baines=84

Netherlands 2 Turkey 0

MABAO:

-Robin van Persie=Dakika ya 17

-Luciano Narsingh=90

Finland 0 France 1

MABAO:

-Abou Diaby=Dakika ya 20

Argentina 3 Paraguay 1

MABAO:

Argentina

-Angelo Di Maria=Dakikaya 3

-Gonzalo Higuain=31

-Lionel Messi=64

Paraguay

-Jonathan Fabrro=18

Yafuatayo ni Matokeo/Ratiba ya Mechi za huko Marekani ya Kusini na Ulaya:

KANDA ya MAREKANI ya KUSINI

RATIBA

[Saa ni za Bongo]

Ijumaa Septemba 7

Colombia 4 Uruguay 0

Jumamosi September 8

Ecuador 1 Bolivia 0

Argentina 3 Paraguay 1

Peru 2 Venezuela 1

Jumanne Septemba 11

22:30 Chile v Colombia

Jumatano Septemba 12

0:30 Uruguay v Ecuador

2:25 Paraguay v Venezuela

4:25 Peru v Argentina

MSIMAMO:

1 Argentina Mechi 6 Pointi 13

2 Chile Mechi 6 Pointi 12

3 Ecuador Mechi 1 Pointi 12

4 Uruguay Mechi 6 Pointi 11

5 Colombia Mechi 6 Pointi 10

6 Venezuela Mechi 7 Pointi 8

7 Peru Mechi 6 Pointi 6

8 Bolivia Mechi 7 Pointi 4

9 Paraguay Mechi 6 Pointi 4

FAHAMU: Timu 4 za juu zinatinga Fainali Brazil moja kwa moja na ile ya 5 itaenda Mechi ya Mchujo.

KANDA ya ULAYA

RATIBA

[Saa ni za Bongo]

Ijumaa Septemba 7

Azerbaijan 1 Israel 1 [Kundi F]

Russia 2  Northern Ireland 0 [Kundi F]

Kazakstan 1 Ireland 2 [Kundi C]

Liechtenstein 1 Bosnia And Herzegovina 8 [Kundi G]

Georgia 1 Belarus 0 [Kundi I]

Malta 0 Armenia 1 [Kundi B]

Estonia 0 Romania 2 [Kundi D]

Croatia 1 Macedonia 0 [Kundi A]

Slovenia 0 Switzerland 2 [Kundi E]

Netherlands 2Turkey 0 [Kundi D]

Latvia 1 Greece 2 [Kundi G]

Andorra 0 Hungary 5 [Kundi D]

Finland 0 France 1 [Kundi I]

Montenegro 2 Poland 2 [Kundi H]

Luxembourg 1 Portugal 2 [Kundi F]

Moldova 0 England 5 [Kundi H]

Germany 3 Faroe Islands 0 [Kundi C]

Iceland 2 Norway 0 [Kundi E]

Bulgaria 2 Italy 2 [Kundi B]

Wales 0 Belgium 2 [Kundi A]

Lithuania 1 Slovakia 1 [Kundi G]

Albania 3 Cyprus 1 [Kundi E]

Jumamosi September 8

17:00 Scotland v Serbia [Kundi A]

21:15 Denmark v Czech Republic [Kundi B]

Jumanne Septemba 11

20:00 Israel v Russia [Kundi F]

20:00 Cyprus v Iceland [Kundi E]

20:30 Romania v Andorra [Kundi D]

20:30 Georgia v Spain [Kundi I]

21:00 Norway v Slovenia [Kundi E]

21:00 Turkey v Estonia [Kundi D]

21:00 Bulgaria v Armenia [Kundi B]

21:15 Bosnia And Herzegovina v Latvia [Kundi G]

21:15 Slovakia v Liechtenstein [Kundi G]

21:30 Austria v Germany [Kundi C]

21:30 Sweden v Kazakstan [Kundi C]

21:30 Hungary v Netherlands [Kundi D]

21:30 San Marino v Montenegro [Kundi H]

21:30 Switzerland v Albania [Kundi E]

21:30 Serbia v Wales [Kundi A]

21:45 Poland v Moldova [Kundi H]

21:45 Northern Ireland v Luxembourg [Kundi F]

21:45 Greece v Lithuania [Kundi G]

21:45 Belgium v Croatia [Kundi A]

21:45 Italy v Malta [Kundi B]

22:00 France v Belarus [Kundi I]

22:00 Scotland v Macedonia [Kundi A]

22:00 England v Ukraine [Kundi H]

23:00 Portugal v Azerbaijan [Kundi F]

Comments