HII NDIO RATIBA YA LEO EPL

BARCLAYS_PREMIER_LEAGUE_LOGO_2012











RATIBA ya ligi kuu England
Jumamosi Septemba 1
MASAA YA TZ

[Saa 8 Dak 45 Mchana] 
West Ham United v Fulham

[Saa 11 Jioni]
Swansea City v Sunderland
Tottenham Hotspur v Norwich Cit
West Bromwich Albion v Everton
Wigan Athletic v Stoke City
[Saa 1 na Nusu Usiku]
Manchester City v Queens Park Rangers
Jumapili Septemba 2
[Saa 9 na Nusu Mchana]
Liverpool v Arsenal
[Saa 12 Jioni]
Newcastle United v Aston Villa
Southampton v Manchester United

Comments